Author Topic: Dead Beat Kenya: Nyeri Edition  (Read 2709 times)

Offline Jokajok

  • Newbie
  • *
  • Posts: 14
  • Karma: +0/-0
  • KBF
    • View Profile
    • Jokes Kibao
Dead Beat Kenya: Nyeri Edition
« on: October 04, 2014, 08:45:47 AM »
Before dead beating a Nyeri Woman
1. Kama unataka kuniweka kwa hio gikundi ya Dedibiti tafathari hakikisha utaweka picha ya maana. Sio kuweka picha zagu za kitabo nikiwa
murevi. Ama zile selfie nirijipiga nikichota maji. Weka picha ya maana. Na ukiweza kuiEdit ni sawa. Lakini isikuwe Brack and White. Razima
urebo yangu ionekane. Sitaki kuaibishwo kwa mtadao.
2. Naskia munaweka number za mutu kwa hio gikundi ya Dedebiti. Na ni sawa, Naba weka. Sina shida. Rakini uweke ya Safaricom
incase kuna mutu atataka kutuma MPESA. By the way hata ya Airtel ni sawa. Mama Kamotho arifugua Airtel Money hapo Kiganjo.
3. Kama razima useme turikosania nini,tafathari usidaganyane. Ogea ukweri.Sio kwenda hapo kutunga hadithi za kurebesha story yako. Ati dio uhurumiwo. Sema vire kurieda. Na vire urikuwa unanichapa. Kwa
sababu bado nakubuka. Usiniharibie jina kwa mtadao. Hii sio movie.
4. Mutoto ni wa miaka tatu. Na kama razima utaje miaka yake basi useme tatu. Sio kweda hapo kudaganya kirindi ati mutoto ni wa miaka
saba ndio ati isemekane nimemtupa hio miaka yote. Ni miaka tatu pekee. Na hata wewe unajua sikuwa na Kazi. Na dada yangu Nyambura alikuwa amezaa pia. Ni mutoto wa mwezi mmoja tutachuga ama ni mutoto
wa Miaka biri??
5. Musidaganywe na huyo admin wa Dedibit. Ni jamaa najua sana. Hata mahari anakunywaga tumekunywa sana nayeye. Nikikuabia ware watoto amejaza Karatina utajitia kitanzi. Nyinyi edereeni kuchochwa hapo mujiabishe.
6.Kama ni stori yangu na irresponsibility ustick kwa hio story. Sio kupereka story za watu wetu huko. Ati kusema Kange’the anashidaga
kwa chang’aa. Ama kusema ati nakaaga kwa mama yangu. Unataka nikae kwa Mama yako??Mutu akae kule anataka. Bora asinyeshewe na
mvua. Na usiede hapo ati kusema naobaga obaga watu pesa. Unataka niobe wanyama??
newbielink:http://jokeskibao.wordpress.com [nonactive] - is about sharing the funniest jokes in Kenya and East Africa
newbielink:https://twitter.com/JokesKibao [nonactive] -Follow us on twitter for the latest jokes.

KenyanBestForum.com

Dead Beat Kenya: Nyeri Edition
« on: October 04, 2014, 08:45:47 AM »