Author Topic: The funniest 'Ati Kwani' Jokes  (Read 4353 times)

Offline KingKenny

 • Newbie
 • *
 • Posts: 36
 • Karma: +0/-0
  • View Profile
The funniest 'Ati Kwani' Jokes
« on: November 22, 2013, 04:48:35 PM »
-Ati Mayai ni 20 bob, Kwani ni mama kayaii alitaga?
-Ati handbag ni 3k kwani inabeba mimba
-Eti CORD itashnda kwani omena zitavote!
-Eti mkate 100 kwan ni ile ya last supper?
-Ati sugar ni 400 bob!!,kwani ina utamu wa yesu!!
-Ati shot 1 400..kwani unaongezewa sosa
- Ati soap ni 800/= kwani inaosha hadi dhambi
-Ati umbwa kali! kwani imewekwa pilipili
-Ati Bench 8000 kwani inakam na Jeff Koinange?
- Ati bra 3k, kwani ni long sleeved?
-Ati kitanda 25k kwani inakusaidia ku achieve dreams!
-Chapo za Omosh ni 30bob kwani zimepikwa na mafuta ya transfomer?
-Ati mbuzi 10k kwani inazaa ng'ombe
-Ati mahari 1M, kwani dame anatumia android operating system?
-Ati kiatu ya CAT ni 10,000/=,kwani inakula panya?
-Ati kiberiti 8bob,kwani imetengenezwa na burning spear?
-Ati ngotha ya madem ni 2k kwani ina always.
-Ati pasta anasema mtu mmoja atuombee kwani hajiamini.
-Ati jersey ya Kogallo 3k, kwani inakuja na mawe, kofia, towel ya white, na vuvuzela ndani!!
-Ati chipo sahani moja ni 400ksh kwani imepikwa na olive oil.

Offline M_J

 • Administrator
 • Full Member
 • *****
 • Posts: 145
 • Karma: +0/-0
 • I can't stop!
  • View Profile
  • The Kenyan Best Forum
Re: The funniest 'Ati Kwani' Jokes
« Reply #1 on: November 22, 2013, 04:52:03 PM »
Funniest...more
Ati samaki 500 kwani ni ile ilimeza yona
Ati padlok ni 1k kwani inakam na watchie
Ati fruit salad ni 1500 kwani ilitengenezwa na fruits of the holy spirit?

KenyanBestForum.com

Re: The funniest 'Ati Kwani' Jokes
« Reply #1 on: November 22, 2013, 04:52:03 PM »