Author Topic: The best of ati kwani jokes  (Read 3051 times)

Offline Jokajok

  • Newbie
  • *
  • Posts: 14
  • Karma: +0/-0
  • KBF
    • View Profile
    • Jokes Kibao
The best of ati kwani jokes
« on: June 10, 2014, 03:53:24 PM »
 *Ati unabeba guitar coz wewe ni msanii, kwani malaya hubeba kitanda?
*Ati kuwatch horror movie ni 1000/= kwani shetani aliact live?
*Ati kuona daktari ni 1k kwani ametoa nguo?
*Ati boxer ni 900 kwani iko na suspender za testicles?
*Ati elimu ni ngao kwani tunaenda vita?
*Ati mwisho wa gari ni hapa kwani ikipita apo inakuwa ndege?
*Ati gari haina watu kwani dereva na kondakta ni wanyama?
*Ati pads 1k kwani inakam na drainage system?
newbielink:http://jokeskibao.wordpress.com [nonactive] - is about sharing the funniest jokes in Kenya and East Africa
newbielink:https://twitter.com/JokesKibao [nonactive] -Follow us on twitter for the latest jokes.

KenyanBestForum.com

The best of ati kwani jokes
« on: June 10, 2014, 03:53:24 PM »