Author Topic: The best Ata....Haiwezi...jokes  (Read 2705 times)

Offline Jokajok

  • Newbie
  • *
  • Posts: 14
  • Karma: +0/-0
  • KBF
    • View Profile
    • Jokes Kibao
The best Ata....Haiwezi...jokes
« on: July 13, 2014, 11:33:43 AM »
1. Ata panga iwe kali aje haiwezi kukata kiu
2.Ata kinyozi awe hodari aje hawezi nyoa vichwa vya habari
3.Ata uwe msafi aje huwezi nawa mikono wakati wa kukula hongo
4.Ata uwe na magari elfu moja utaenda choo kwa miguu
5.Ata uzame aje huwezi toka na samaki katika dimbwi la mapenzi
6.Ata historia ya marehemu iwe nzuri aje haipigiwi makofi
7.Ata fundi awe hodari aje hawezi repair breaking news
newbielink:http://jokeskibao.wordpress.com [nonactive] - is about sharing the funniest jokes in Kenya and East Africa
newbielink:https://twitter.com/JokesKibao [nonactive] -Follow us on twitter for the latest jokes.

KenyanBestForum.com

The best Ata....Haiwezi...jokes
« on: July 13, 2014, 11:33:43 AM »